Picha| kutoka nyumbani kwa Hayati Edward Lowassa Monduli

atibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akiwafariji watoto wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha Februari 15, 2024. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wake, Anderson Mutatembwa katika Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akizungumza na Makatibu Wakuu kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Rombo, Joseph Selasini kwenye msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa, katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha.

Feb 15, 2024 - 15:00
 0
Picha| kutoka nyumbani kwa Hayati Edward Lowassa Monduli

atibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akiwafariji watoto wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha Februari 15, 2024.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wake, Anderson Mutatembwa katika Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akizungumza na Makatibu Wakuu kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Rombo, Joseph Selasini kwenye msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa, katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha.
If you need to advertize with us contact us via whattsapp +254704208003
Unstoppable_ke My approach is characterized by meticulous attention to detail, critical thinking, and the ability to navigate the fine line between skepticism and empathy. I have honed skills such as data analysis, open-source investigation, undercover reporting, and source cultivation. My ability to maintain objectivity while delving into emotionally charged topics ensures that my work remains balanced and impactful.