Samia aipa Zambia zawadi ya Uhuru

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itatenga eneo la ekari 20 katika mMoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia. Rais Dk. Samia alitoa kauli hiyo wakati akitoa hotuba kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia ambapo yeye alikuwa […]

Oct 24, 2023 - 13:00
 0
Samia aipa Zambia zawadi ya Uhuru

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itatenga eneo la ekari 20 katika mMoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia.

Rais Dk. Samia alitoa kauli hiyo wakati akitoa hotuba kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi.

Zambia ni mteja mkubwa wa bandari ya Dar es Salaam, ikichukua asilimia 34 ya mizigo yote inayopitia bandari hiyo kwenda nje ya Tanzania.

Rais Samia alitumia fursa hiyo kusema kwamba mipaka ya kijiografia baina ya Tanzania na Zambia haipaswi kuwa kikwazo cha biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo jirani.

If you need to advertize with us contact us via whattsapp +254704208003
Unstoppable_ke My approach is characterized by meticulous attention to detail, critical thinking, and the ability to navigate the fine line between skepticism and empathy. I have honed skills such as data analysis, open-source investigation, undercover reporting, and source cultivation. My ability to maintain objectivity while delving into emotionally charged topics ensures that my work remains balanced and impactful.