Dk. Mpango ashiriki Harambee ya ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za CCM Mkoa wa Pwani

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani akijadiliana jambo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, katika Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, 2024 katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo, watu mbalimbali wakiwemo wa chama na Serikali walihudhuria. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani wa tano kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Pwani na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete wa sita kutoka kulia kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam.

Jun 30, 2024 - 13:00
 0
Dk. Mpango ashiriki Harambee ya ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za CCM Mkoa wa Pwani

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani akijadiliana jambo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, katika Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, 2024 katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo, watu mbalimbali wakiwemo wa chama na Serikali walihudhuria.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani wa tano kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Pwani na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete wa sita kutoka kulia kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam.
If you need to advertize with us contact us via whattsapp +254704208003
Unstoppable_ke My approach is characterized by meticulous attention to detail, critical thinking, and the ability to navigate the fine line between skepticism and empathy. I have honed skills such as data analysis, open-source investigation, undercover reporting, and source cultivation. My ability to maintain objectivity while delving into emotionally charged topics ensures that my work remains balanced and impactful.